RATIBA YA KUAGA KUAGA MWILI WA MAREHEMU DKT. S.E.A
MVUNGI
DAR ES SALAAM
________________
MUDA
|
TUKIO
|
LEO,
NOVEMBA 15, 2013 – UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU JK NYERERE
|
|
Saa 12:50 jioni
|
Kuwasili kwa mwili wa Marehemu
– Uwanja wa Ndege wa Mwalimu JKN
|
KESHO,
NOVEMBA 16, 2013 – VIWANJA VYA KARIMJEE
|
|
Saa 2:00 – 3:30 asubuhi
|
Kuwasili kwa Wageni, Wananchi
na Waombolezaji
|
Saa 3:30 asubuhi
|
Kuwasili Mwili wa Marehemu
|
Saa 4:00 – 5:45 asubuhi
|
Ibada ya Misa Takatifu, Viwanja
vya Karimjee
|
Saa 5:45 – 6:55 mchana
|
Salaam za Rambirambi na Neno la
Shukurani
|
Saa 6:55 – 8:40 Mchana
|
Kuaga Mwili wa Marehemu
|
Saa 9:00 Alasiri
|
Msafara kupeleka mwili wa
marehemu Kibamba Msakuzi
|
KESHO
KUTWA, NOVEMBA 17, 2013 – NYUMBANI KWA MAREHEMU - KIBAMBA, MSAKUZI
|
|
Saa 2:30 – 4:30 asubuhi
|
Ibada ya Misa nyumbani kwa
marehemu
|
Saa 5:00 asubuhi
|
Kuanza safari ya kwenda
Chanjale, Kisangara Juu, Mwanga, Kilimanjaro
|
________________
No comments:
Post a Comment