Rais Dk.Ali Mohamed Shein,azungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika  Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Wizara ya  Elimu na Mafunzo ya Amali,wakiwa katika mkutano wa  utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika  Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Post a Comment

Previous Post Next Post