Waziri wa Fedha Omar Yussuf Atembelea Kiwanda cha Sukari Mahonda.

MKURUNGEZI Mkuu wa Kiwanda cha Sukari Mahonda Krisha Narayan wa kwanza kushoto akitoa maelezo kwa Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee wa pili kushoto alipotembelea mashamaba ya Miwa yaliyofanyiwa uharibifu na watu wasiojulikana huko Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja. 
Waziri wa Fedha Zanzibar Omar Yussuf Mzee akipata maelezokutoka kwa Ofisa wa Kiwanda cha Miwa Mahonda moja ya kifaa kinachotumika na katika kiwanda hicho. 

 WAZIRI wa Fedha Omar Yussuf Mzee akizingumza na Uongozi wa kiwanda cha Sukari Mahonda alipotembelea kiwanda hicho baada ya shamba lake kutiwa moto na watu wasiojulikana hivi karibuni.alitembelea shamba hilona kuona madhara ya moto huo kwa miwa ambayo badi ilikuwa michanga na kuharibiwa na moto huo. 

1 Comments

  1. ng'ombe wa masikini hazai na akizaa huambiwa kaiba , nani atakuja kuwekeza hapa kwetu ikiwa sisi wenyewe ndio waharibifu?

    ReplyDelete
Previous Post Next Post