
Baadhi ya wazee mashuhuri katika hafla hiyo akiwemo Mzee wetu Hassan Nassor Moyo nae alishuhudia tukio hilo.

Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na mabalozi

Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoka Kushoto ni Mhe Mohammed Aboud,Mhe Juma Duni na Mhe Said Mbarouk

Mawaziri wa Bara na Zanzibar

Sehemu ya mawaziri wa bara na wa Zanzibar

Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kushoto no Simai Mohammed na kulia ni Ally Saleh
Nyuso za furaha kwa viongozi wa watanganyika. Nyuso za huzuni kwa viongozi we Zanzibar.
ReplyDelete