Habari za Punde

Wawaa Manispa Zanzibar kwa Mashine Mpya za Kazi.

 Magari ya Baraza laManispa Zanzibar yakiwa katika viwanja vya Ofisi hizo darajani wakisubiri kukamilika kwa taratibu za kuaza kutumika kwa ajili ya kuuweka Mji wa Zanzibar katika mazingira ya Usafi, Magari haya yatakuwa changamoto kwa kuweka usafi na kupunguza mrundikano wa mataka katika sehemu mbalimbali za Unguja.
Magari haya yatumike kwa uangalifu na kuweza kutumika kama yalivyokusudiwa na kupatikwa kwa matengenezo kwa wakati ili kuweza kudumu kwa muda mrufu ili kuweza kutowa huduma ya usafi.

1 comment:

  1. Hapa zanzibar wachiliambaili ha ya magari ya kisasa hata ipatikane ndege bado mjiwetu utakuwamchafu,kwanza watu wa zanzibar wanapenda kujifanya wastaarabu huku wana vunja sheria, mtuna heshima yakea , siabu kumuona akikojoa kando ya bara bara, ikesha wanasema wanataka kupumua

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.