Habari za Punde

Mhe. Masauni Afungua Mkutano wa Baraza la Wazazi -Amani.


 Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM. Mhe. Hamad Yussuf Masauni, akifungua mkutano wa Baraza la Wazazi Wilaya ya Amani Unguja, akihutubia katika ufunguzi huo uliofanyika katika Tawi la CCM Amani na kuhudhuriwa na Wajumbe wa Baraza hilo ukiwa ni mkutano wa kwanza kufanyika tangu kuchaguliwa kwa Baraza la Wazazi Wilaya ya Amani.  
 Wajumbe wa Baraza la Wazazi Wilaya ya Amani wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Mhe. Hamad Masauni wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa tawi la CCM Amani.
 Mwenyekiti wa Wazazi Wilaya ya Amani , akizungumza na kumkaribisha mgeni rasmin, ili kukifungua kikao hicho cha Baraza la Wazazi Wilaya Amani Unguja.
 Katibu wa Wazazi Wilaya ya Amani akisoma risala ya Baraza lao kabla ya ufunguzi wa Mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.