Habari za Punde

Mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba azindua mradi wa TASAF III



Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba , Meja Mstaafu Juma Kassim Tindwa, akizungumza na Wananchi wa Shehia ya Ndagoni Pemba katika uzinduzi wa TASAF , katika mradi wa kuzinusuru Kaya Maskini.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Meja Mstaafu, Juma KassimTindwa , akimkabidhi Fedha Mlengwa , kama ni Ishara ya kulipwa kwa Wananchi hao katika mradi wa kunusuru Kaya Maskini.
 
Picha na Bakar Mussa, Pemba
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.