Habari za Punde

Mzee Sheha Omar Bakar aagwa


AFISA Mdhamini Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba nd: Mayasa Hamad Ali , akimkabidhi funguo za baiskeli nd: Sheha Omar Bakar aliekuwa mfanyakazi wa wizara hiyo, ambapo pamoja na wafanyakazi wengine juzi waliagwa rasmi na uongozi wa wizara hiyo (picha na Asha Salim, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.