OFISA Mdhamini afisi ya makamu wa pili wa
rais Pemba, Amran Massoud Amran, akimkabidhi mmoja kati ya wanafunzi wa skuli
ya sekondari ya Kengeja wilaya ya mkoani, sare na fedha taslimu kama zawadi
zilizotolewa na mzaliwa wa kijiji hicho dk, Omar Dadi Shajak, kwenye hafla
iliofanyika skulini hapo, ambapo wanafunzi hao ni wale waliofaulu mitihani yao
ya darasa la saba na darasa la kumi na tatu mwaka 2013/2014 (picha na Haji Nassor, Pemba)
MWENYEKITI wa skuli ya sekondari ya
Kengeja wilaya ya mkoani Pemba, Hassan Abdalla akizungumza kwenye hafla ya
kukabidhi zawadi za sare na fedha kwa wanafunzi waliofaulu ngazi na michepuo na
darasa na kumi na tatu mwaka 2013/2014, zilizotolewa na mzaliwa na Kengeja dk
Omar Dadi Shajak, katikati ni mjumbe wa kamati hiyo Said Khalifan Amour
akifutiwa na Ofisa mdhamini afisi ya makamu wa pili wa rais Pemba Amran Massoud
Amran (picha na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment