Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe unaofanya tathmini ya mpango wa matokeo
makubwa sasa Nchini (BRN) unaoongozwa na Rais mstaafu wa Botswana Mhe. Festus
mogae, wakati ujumbe huo ulipofika Ikulu Dar es salaam leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe unaofanya tathmini
ya mpango wa matokeo makubwa sasa Nchini (BRN) unaoongozwa na Rais mstaafu wa
Botswana Mhe. Festus mogae, wakati ujumbe huo ulipofika Ikulu Dar
es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe unaofanya tathmini ya mpango wa matokeo makubwa sasa Nchini (BRN) unaoongozwa na Rais mstaafu wa Botswana Mhe. Festus mogae, wakati ujumbe huo ulipofika Ikulu Dar es salaam
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiagana na
baadhi ya Mawaziri na wajumbe wanaofanya tathmini ya mpango wa matokeo makubwa
sasa Nchini (BRN) wakati ujumbe huo ulipofika Ikulu Dar
es salaam leo Januari 16,2015.
(Picha na OMR)




0 Comments