Habari za Punde

Masjid Nabawiy Mombasa inahitaji Sadaqatun Jaariya yako

JAMAAT L -KHAIR, MASJID NNABAWY ULIOPO MOMBASA UNGUJA UNAPENDA KUKUSHIRIKISHA KATIKA UNUNUZI WA KIWANJA KWAAJILI YA MADRASA NA SHUGHULI ZA MSIKITI.


KIWANJA THAMANI YAKE NI MILIONI 40, LAKINI TAYARI MILIONI 4 ZIMESHAPATIKANA TUNASAFARI NDEFU YA KUPATA MILIONI 36.


IKIWA NI WEWE BINAFSI AU UTAMSHIRIKISHA MTU/TAASISI KATIKA KHERI HII, TUNAOMBA MCHANGO WAKO UTUME KUPITIA ACCOUNT 

NUMBER:54120100005830
PBZ ISLAMIC BANKING DIVISION
THE PEOPLES BANK OF ZANZIBAR LIMITED.
SWIFT CODE: Pbzatztz.


Uongozi wa Masjid Nnabawy unatanguliza shukurani kwa kuchangia kheri hii.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.