MSAIDIZI katibu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Wanawake
wa Tundauwa(JUMWATU) Wilaya ya Chake Chake Pemba, Shaib Haji Zubeir akikagua
eneo wanalotaka kujenga tuta la kuzuwia maji Chumvi, ili yasiende kuharibu
mashamba ya wakulima wa Mpunga, licha ya kuwa tayari wameshapanda mikoko Elfu
17000.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
KATIBU wa kikundi cha Mabadiliko Coparative Society Othman
Omar Haji, kinachojishuhulisha na upandaji wa Mkoko huko Mtambwe Nyali,
akiwaonyesha waandishi wa habari ambao hapo pichani ukubwa wa eneo walilopanda
miti hiyo kwa ajili ya kuhifadhi mazingira.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment