WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Maji Zanzibar ZAWA Ofisi ya
Pemba, wakichimba shimo kwa lengo la kuchomekwa nguzo ya kuweka uzio katika
tangi la Maji lililopo Gombani Kongwe, ikiwa ni sherehe za maadhimisho ya Wiki
ya Maji Duniani.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
KAIMU mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Tawi la Pemba, Mhe:Juma Ali Othman akitoa malezo ya ujenzi na vijiji vitakavyo nufaika na mradi huo wa maji, kwa Katibu Tawala Wilaya ya Chake Chake Mhe:Rashid Hadid Rashid, kabla ya kuzindua rasmi maadhimisho ya wiki ya Maji duniani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
KAIMU mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar
(ZAWA)Tawi la Pemba, Mhe:Juma Ali Othaman akizungumza na waandishi wa habari
kutoka vyombo mbali mbali vya habari, juu ya maadhimisho ya wiki ya Maji
duniani mara baada ya kuwekewa mipaka tangi la Maji la Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment