Habari za Punde

Maalim Haroun Azungumza na Mwekezaji kutoka Marekani alipofika Kigaeni Makunduchi.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma Mh.Haroun Ali Suleiman akizungumza na mwekezaji wa Kampuni ya Mashirikiano ya Kimaendeleo (CAAA) Nicolas Sarry wa Switzerland ambayo inajenga Chuo cha Mafunzo ya Utalii kwa Vijana wa Wilaya ya Kusini Unguja,chuo hicho kinachojengwa Kigaeni Makunguchi kinatarajiwa kugharimu dola za kimarekani karibu laki nne zinazotorajiwa kumalizia ujenzi huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.