MKUFUNZI wa Zanzibar
Ali Saidi Hamad, akielezea lengo la sera hiyo kwa wananchi wa shehia tatu Michenzani, Chokocho na Kisiwa Panza juu ya upigaji vita uvuvi haramu.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MRATIB wa Mradi wa Sera na Sheria ya Uvuvi Zanzibar,
kutoka katika Jumuiya ya Sanaa ya elimu ya Ukimwi na mazingira (JSEUMA) iliyoko
kisiwa Panza wilaya ya Mkoani, Juma Ali Mati akimkabidhi sheria ya uvuvi no 7
ya mwaka 2010, mmoja ya mwakilishi wa masheha.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment