Habari za Punde

Baraza Kuu la Cuf Lakutana kupitia Majina ya Wagombea wa Chama hicho

Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Viongozi wa CUF alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CUF buguruni Mjini Dar-es-Salaam. kuhudhuria mkutano wa Baraza Kuu kupitia majina ya wagombea wa Chama hicho.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasili katika ofisi kuu za Chama hicho zilizoko Buguruni Dar es Salaam, tayari kwa kuanza kikao cha Baraza Kuu la Uongozi kinachojadili uteuzi wa mwisho wa wagombea wa Chama hicho.


Wajumbe wa Baraza Kuu la CUF Taifa, wakiwa tayari kwa kikao cha kuwajadili wagombea (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.