Habari za Punde

MV Serengeti ikiendelea kutoa huduma za mizigo Pemba



 UWEPO wa Meli ya MV Serengeti katika bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba, imekuwa ni faraja kubwa kwa wachukuzi wa mizigo katika bandari hiyo, pichani wachukuzi wakiteremsha mchele kutoka katika meli hiyo na kupakia katika gari la Munawar katika bandari ya Mkoani kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.