Habari za Punde

ZEC ilipotoa taarifa kwa waangalizi wa Uchaguzi mkuu 2015

DSC04007
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Mh. Jecha Salim Jecha akitoa taarifa ya Uchaguzi kwa waangalizi wa nje na ndani, taarifa hiyo ilitolewa tarehe 23/10/2015 Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.
DSC04015
Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu 2015 wakimsikiliza taarifa ya Uchaguzi mkuu iliyotolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibra Mh. Jecha Salim Jecha tarehe 23/10/2015 Salama Hall Hoteli ya Bwawani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.