Habari za Punde

Kilimo cha Matunda ya Matikiti Zanzibar Kimekuwa na Kustawi.

Biashara ya Matunda ya Tikiti Zanzibar kimekuwa kikubwa kutoka na matunda hayo kulimwa kwa wingi katika maeneo mbali ya Unguja na Pemba na kufanya matunda hayo kupatikana kwa wingi na bei yake kuwa nzuri tikiti moja linauzwa kati ya shilingi 1000/= na 4000/= inategemea ukubwa wake na ubora. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.