Habari za Punde

Wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Barabara Wakagua Nyumba za Wakazi wa Ule Pemba.

 BIBI Mariya Ali Nassor akizungumza na Mwandishi wa habari wa kujitegemea kisiwani Pemba Omar Hassa, kufuatia nyumba yake kuangukiwa na tawi la muwemba, wakati ulipokuwa ukingolewa kwa ajili ya upitishaji wa barabara ya Ole-kengeja.
 WAJUMBE wa Bodi ya Mfuko wa Barabara Zanzibar wakijadiliana mambo mara baada ya kukagua vibanda vya wafanya biasha wa Ole Kianga, ambavyo vinavyotakiwa kulipwa ili kupisha ujenzi wa barabara ya Ole-Kengeja kisiwani Pemba
 WAJUMBE wa Bodi ya Mfuko wa Barabara Zanzibar wakijadiliana mambo mara baada ya kukagua vibanda vya wafanya biasha wa Ole Kianga, ambavyo vinavyotakiwa kulipwa ili kupisha ujenzi wa barabara ya Ole-Kengeja kisiwani Pemba.
WAJUMBE wa Bodi ya Mfuko wa Barabara Zanzibar wakikagua ujenzi wa barabara Chake-konde kuanzia melitano hadi Chwale inayojengwa kwa kiwango cha lami na Kampuni ya Rock Tronic LTD, hatua iliyofikiwa ya barabara hiyo
(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.