Moto mkubwa unaendelea kuwaka mitaa ya Kiponda mjini Unguja jirani na msikiti wa Shia Ithnasheria. Jitihada za kuuzima moto huu zinaendelea ila jitihada za ziada zinahitajika za msaada wa magari ya maji baada ya Magari ya zimamoto kuishiwa na maji na kwenda kuyafuata wakati wakijaribu kuuzima moto huo.
BALOZI NCHIMBI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMUAGA MZEE MONGELLA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
ameongoza mamia ya waombolezaji, katika utoaji wa heshima za mwisho na
hatimae ...
2 hours ago
Hii habari mbona hatujapata update zozote? Au ndo umeme haujarudi bado?
ReplyDelete