Moto mkubwa unaendelea kuwaka mitaa ya Kiponda mjini Unguja jirani na msikiti wa Shia Ithnasheria. Jitihada za kuuzima moto huu zinaendelea ila jitihada za ziada zinahitajika za msaada wa magari ya maji baada ya Magari ya zimamoto kuishiwa na maji na kwenda kuyafuata wakati wakijaribu kuuzima moto huo.
BENKI YA MKOMBOZI YAFANYA MKUTANO MKUU WA WANAHISA
-
Mkutano Huo ukiwa ni mkutano wa 16 wa wanahisa umefanyika jana Julai 26,
2025 katika kituo cha kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)
jijini D...
1 hour ago
Hii habari mbona hatujapata update zozote? Au ndo umeme haujarudi bado?
ReplyDelete