Habari za Punde

Meli ya Mapinduzi 2 Yaanza Safari yake ya Kwanza Kisiwani Pemba Asubuhi leo Ikiwa na Abiria

 Meli ya MV Mapinduzi 2 ikiaza safari yake baada ya kupakia abiria katika bandari ya Malindi Unguja na kuelekea Kisiwani Pemba ikiwa katika safari yake ya kwanza tangu kuwasili Zanzibar ikitokea Nchini Korea ilikotengenezwa.. Na inategemewa kurejea Zanzibar kesho mchana ikitokea Pemba.  
 M V Mapinduzi ikielekea Kisiwani Pemba baada ya kuaza safari yake ya kwanza leo asubuhi.
 Kepteni ya MV Mapinduzi akiwa na Maofisa wake bridge wakati Meli hiyo ikiachia Gati ya Malindi kuanza Safari yake Kisiwani Pemba.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.