Habari za Punde

Masauni azungumza na viongozi wa CCM na wagombea nafasi za uwakilishi na udiwani Pemba

KATIBU CCM wa Idara ya siasa na uhusiano wa kimataifa Zanzibar, Mhe: Hamad Yussuf Masauni, akizungumza na viongozi wa CCM na wagombea wa nafasi ya uwakilishi na udiwani wa mikoa miwili ya Pemba, kwenye mkutano maalum uliofanyika afisi ya CCM Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 MGOMBEA uwakilishi wa Jimbo la Mgogoni CCM Abdall Shehe Hamad, akizungumza na waandishi wa habari nje ya afisi ya CCM Chakechake Pemba, muda mfupi baada ya kumalizika kikao na Katibu Idara ya siasa na uhusiano wa kimataifa Zanzibar, Mhe: Hamad Yussuf Masauni, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 MGOMBEA udiwani CCM wadi ya Jadida wilaya ya Wete la Mgogoni CCM, Mwana Ali, akizungumza na waandishi wa habari nje ya afisi ya CCM Chakechake Pemba, muda mfupi baada ya kumalizika kikao na Katibu Idara ya siasa na uhusiano wa kimataifa Zanzibar, Mhe: Hamad Yussuf Masauni, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.