MATANGAZO MADOGO MADOGO

Thursday, February 25, 2016

Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Balozi Seif ofisini kwake Magogoni


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkaribisha Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipomtembelea Waziri Mkuu ofisini kwake Magogoni Dar es Salaam kwa mazungumzo ya kikazi 

Waziri mkuu Kassim Majaliwa akiongea na Makamu wa pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd alipofika ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo ya kikazi .

  • Picha na Chris Mfinanga