VIJANA mbali mbali
wamekuwa wakiitikia wito wa Serikali wa kuwataka kujiajiri wenyewe, Pichani
vijana waliojikusanya pamoja na kuamua kutengeneza viti vya masofa katika eneo
la Machomanne Pemba
Mbunge wa Jimbo la Chake Chake Yussuf Kaiza Makame akikabidhi
bati 85 zenye thamani ya shilingi Milioni 1,190,000/= kwa viongozi wa madrasa
ya wazee ya Madungu Kosovo Wilaya ya Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment