Katibu Tawala Wilaya
ya Chake Chake Ndg. Abdalla Rashid Ali akizungumza na Vijana wa Wilaya ya Chake
Chake, mara baada ya kuzindua Baraza la Vijana la Wilaya hiyo, huko katika
skuli ya maandalizi madungu katika shamra shamra za kuelekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani.
Baadhi Vijana ambao ni Wanachama wa Baraza la Vijana la
Wilaya ya Chake Chake Pemba, wakimsikiliza Katibu Tawala wa Wilaya ya Chakechake Pemba katika hafla ya Uzinduzi wa Baraza la Vijana, uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa skuli ya maandalizi madungu Chake Chake Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment