Habari za Punde

Breeking News Dk Shein Afanya Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, amefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Kwa Mujibu wa Uwezo aliopewa Chini ya Kifungu cha 66 cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kupitia nafasi zake 10.  

Mhe Mohammed Aboud Mohammed CCM.
Mhe Balozi Ali Karume.CCM
Mhe Balozi Amina Salum Ali. CCM 
Mhe Moudline Castico. - CCM
Mhe Hamad Rashid Mohammed ADC 
Mhe Said Soud Said - AFP 
Mhe Juma Ali Khatib - ADA-TADEA.

Uteuzi huo unaaza leo tarehe 5/4/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.