Sunday, May 8, 2016

Picha za Matukio Mitaani Zenj.

 Mafunzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA ) wakilifanyia ukarabati moja ya bomba la maji lililokuwa likitoa maji katika barabara ya mnazi mmoja.