Habari za Punde

Mafunzo ya uwezeshaji Wanawake wa Mkoa wa Mjini Unguja,

 MBUNGE wa Viti maalum Asha Abdalla Juma (MSHUA) akisaini Kitabu cha Wageni  katika Ukumbi wa CCM Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B Zanzibar.
 MWENYEKITI wa UWT Mkoa wa Mjini, Waride Juma Othman akimkaribisha mgeni Rasmi Mbunge wa Viti maalum Asha Abdalla Juma (MSHUA) kuzungumza na washiriki wa Mafunzo ya uwezeshaji Wanawake wa Mkoa wa Mjini Unguja, katika Ukumbi wa CCM Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B Zanzibar.
 MGENI RASMI Mbunge wa Viti maalum Asha Abdalla Juma akizungumza na washiriki  wa Mafunzo ya uwezeshaji Wanawake wa Mkoa wa Mjini Unguja katika Ukumbi wa CCM Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B.
 WASHIRIKI mbalimbali waliohudhuria wa Mafunzo ya uwezeshaji Wanawake wa Mkoa wa Mjini Unguja.
  MHE Asha Abdalla Juma (MSHUA) akiendesha Mafunzo ya uwezeshaji Wanawake wa Mkoa wa Mjini katika Ukumbi wa CCM Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B.

 MHE Asha Abdalla Juma (MSHUA) akiendesha Mafunzo ya uwezeshaji Wanawake wa Mkoa wa Mjini katika Ukumbi wa CCM Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi B.

 MSHIRIKI wa mafunzo Nuru Moh’d Ahmed kutoka Shehiya ya Kikwajuni akichangia mada katika mafunzo hayo.
MKUFUNZI wa Mafunzo Mwatima Abdalla Juma akiwapatia elimu ya kilimo cha mboga mboga washiriki wa mafunzo hayo.(Picha zote na Abdalla Omar Habari Maelezo Zanzibar).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.