Habari za Punde

ZSSF Kujenga Maduka ya Kisasa Michenzani Makontena Zenj.

 
Meneja Mipango na Uwekezaji wa ZSSF Ndg Khalifa Muumin, akizungumza na Washauri Ujenzi wa Kampuni za Hab Consult Ltd, AM Quantity Surveying na Mbega ;Associetes Ltd, baada ya kukagua eneo la Makontena Michenzani kwa ajili ya kujengwa maduka ya kisasa chini ya Mradi wa ZSSF




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.