Habari za Punde

Majeruhi wa ajali iliyotokea Shengejuu wakirudi harusini wafikishwa Hospitali Chakechake

 WASAMARIA wema wakimsaidia mmoja wa majeruhi wa ajali ya gari ya abiria iliyotokea birikau, wakati wakimsaidia kumpeleka wodini baada ya kupatia matibabu, ajali hiyo imetokea wakati wakirudi harusini na huku majeruhi 32 wakinusurika kufa.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WATOA huduma katika hospitali ya Chake Chake Kisiwani Pemba, wakimsaidia mmoja ya majeruhi wa ajali ya gari ya abiria iliyotokea birikau, baada ya kupatiwa matibabu ya huduma ya kwanza na kumpeleka wodini.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MADAKTARI wa hospitali ya Chake Chake Chumba cha Upasuaji, wakimpeleka wodini mmoja wa majeruhi wa ajali ya gari iliyotokea Shengejuu Wilaya ya Wete, huku abiria 12 walinusurika kufa katika ajali hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.