Habari za Punde

Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo amali akutana maofisa Elimu na Masheha wa Wilaya kisiwani Pemba

 Maofisa Elimu Wilaya ya Chake Chake Pemba, pamoja na Masheha wa Wilaya ya Chake Chake wakiwa katika mkutano wa naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya amali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mmanga Mjengo Mjawiri huko katika ukumbi wa Ofisi ya mkuu wa mkoa kusini Pemba.
 Naibu Katibu mkuu Wizara ya Elimu na mafunzo ya amali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Abdalla Mzee Mpangile, akizungumza jambo kwa masheha na maafisa wa Elimu huko katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa Kusini Pemba, kabala ya kumkaribisha Naibu waziri wa Elimu kuzungumza na Viongozi hao .
 Maofisa Elimu Wilaya ya Chake Chake Pemba, pamoja na Masheha wa Wilaya ya Chake Chake wakiwa katika mkutano wa naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya amali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mmanga Mjengo Mjawiri huko katika ukumbi wa Ofisi ya mkuu wa mkoa kusini Pemba.
 Naibu waziri wa Elimu na mafunzo ya amali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mmanga Mjengo Mjawiri, akizungumza na Masheha wa Wilaya ya Chake Chake juu ya umuhimu wao katika kuimarisha ubora waelimu katika Wilaya hiyo ya Chake Chake Pemba na kuwataka wazidishe mashirikiano na Wizara ya Elimu katika kufikia malengo yaliowekwa na serikali katika sekta ya Elimu.

Picha na Bakar Mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.