Habari za Punde

Kongamano la kusherehekea Siku ya Walimu Duniani lafanyka kisiwani Pemba

 Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Hemed Suleiman Abdalla (katikati) akiwa pamoja na Mwenyekiti wa ZATU Zanzibar ambae pia ni Ofisa Elimu Wilaya ya mkoani ( kulia),Seif Moh'd Seif na Maalim Ali Khamis katika Kongamano la kusherehekea Siku ya Walimu Duniani yaliofanyika katika ukumbi wa TC Mizingani-Pemba.
Wadau wa Elimu Kisiwani Pemba, wakiwa katika Kongamano la kusherehekea siku ya Walimu Duniani, yaliofanyika katika ukumbi wa TC Mizingani -Pemba.
Maalim Ali Khamis, ambae pia ni Mwenyekiti wa Kanda Wilaya ya Wete, akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Hemed Suleiman Abdalla, katika Kongamano la sherehe ya siku ya Walimu Duniani, iliofanyika katika ukumbi wa TC Mizingani Mkaoni Pemba.


 Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, akizungumza na Wadau wa Elimu Pemba, katika Kongamano sherehe za siku ya Walimu Duniani , lilofanyika katika ukumbi wa TC Mizingani -Pemba.Picha na Habiba Zarali -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.