Mjasiriamali wa Biashara ya Matunda ya Matikiti kisiwani Pemba akiwa na matunda hayo katika mitaa ya Chakechake akisubiri wateja wa bidhaa hiyo. Matunda ya matikiti katika Visiwa vya Unguja na Pemba hulimwa kwa wingi na kutowa ajira kwa vijana.(Picha na Bakar Mussa--Pemba).
Tags
BIASHARA

