Habari za Punde

Zanzibar Leo ofisi ya Pemba wapanga mikakati kuandika habari zinazoendana na soko


MKUU wa Shirika la Magazeti ya Serikali ofisi ya Pemba, Bakari Mussa Juma akizungumza na wafanyakazi wa shirika hilo Ofisi ya Pemba, katika kikao maalumu cha kupanga mikakati mbali mbali ya kufanya kazi ili kuweza kuandika habari zinazoendana na soko la habari.(Picha Na Abdi Suleiman, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.