Habari za Punde

MADAKTARI BINGWA WA MACHO KUTOKA JUMUIA YA LOUIS NIELSEN YA DENMARK WAWAFANYIA UCHUNGUZI WA MACHO WANANCHI NA KUTOA MIWANI BILA YAMALIPO

Waziri wa Afya Mahmoud Thabiti Kombo akizungumza na madaktari bingwa wa macho kutoka Jumuia ya Louis Nielsen ya Denmark ambao wapo Zanzibar  kwa ajili ya kutoa huduma ya miwani kwa wananchi katika Skuli ya Msingi Kiembesamaki Mjini Zanzibar.
Daktari Pernille Overgaard kutoka Debmark akimfanyia uchunguzi wa macho Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo katika Skuli ya msingi ya Kiembesamaki.
Wananachi  waliofika Skuli ya msingi ya Kiembesamaki kufanyiwa uchunguzi wa macho wakiwa kwenye mistari kusubiri zamu zao kuonana na madaktari bingwa wa macho kutoka Denmark.
Baadhi ya wananchi waliofanyiwa uchunguzi wa macho na madaktari kutoka Denmark wakisubiri kupatiwa msaada wa miwani za bure kutoka kwa madaktari hao. Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.