Habari za Punde

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa PIli wa Rais akutana na Mkurugenzi wa Jumuiya ya watu wenye ulemavu

Naibu Waziri wa nchi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Mihayo Juma Nhunga akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Jumuia ya watu wenye ulemavu Zanzibar, Bibi Abeda Rashid Abdallah. Bi Abeda alimueleza Waziri huyo kuhusu matatizo yanayowakabili watu wenye ulemavu.

 Picha kwa hisani ya Salma Lusangi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.