Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahudhuria Sherehe za Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe,Paul Makonda baada ya kumalizika kwa sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dae es Salaam
Kikosi cha Jeshi la Wanamaji wa Tanzania JWTZ kikipita katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kwa Gwaride la mwendo wa pole katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo kiwanjani hapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli
Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa JKT kikipita katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,kwa Gwaride la mwendo wa polepole katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo kiwanjani hapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,
Kikosi cha Jeshi la Polisi wanawake kikipita mbele katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo kiwanjani hapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,
Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Makomandoo kikipita katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,kwa mwendo wa kurukaruka  katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo kiwanjani hapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli
Askari wa Jeshi la wanmanchi wa Tanzania JWTZ kikosi cha makomandoo wakivuta gari la kijeshi kuonyesha ukakamavu wao katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,kama wanayoonekwa pichani,[Picha na Ikulu.]09/12/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.