Habari za Punde

Uongozi wa Bima ya Afya AAR Yakutana na Wadau Wake Visiwani Zanzibar.

Mkurugenzi Mkuu wa Bima ya Afya AAR Violet Mordichai, akizumgumza na wadau wa sekta ya afya wanaotua huduma kwa wagonjwa wa mbalimbali wanaofika kupata matibabu kupitia bima hiyo , uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya double Tree shangani Zanzibar uliowashirikisha wamiliki wa hospitali na taasisi za serikali zinazopata huduma ya Bima ya Afya kupitia AAR.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.