Habari za Punde

Wananchi wa Zanzibar wakiwa katika Viwanja vya Amaan Wakiomba Dua ya Amaan Zanzibar.

Shekh akisoma dua wakati wa hafla maalumu ilioandaliwa na Taasisi za Vijana wa Kiislamu kuiombea Dua Zanzibar kuuendelea na Amani na kujiepusha na mabalaa dua hiyo imefanyika katika viwanja vya Amaan Zanzibar na kuwashirikisha viongozi wa dini mbalimbali visiwani Zanzibar. 
Viongozi na Wananchi wa Zanzibar wakiitikia dua wakati wa hafla hiyo ya kuiombea Amaan Zanzibar dua iliofanyika viwanja vya Amaan Zanzibar. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.