Habari za Punde

Waziri wa Habari Mhe Nape Mnauye Afungua Mkutano wa TBN nac Kukabidhi Kadi Wanachama Wapya wa Mfuko wa PSPF na Kukabidhi Kadi za NMB za Chap chap kwa Wanachama wa TBN.

 
Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Nerwork Ndg Joachim Mushi akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmin Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Tanzania Mhe Nape Mnauye kufunga Mkutano huo Mkuu ulioambatana na Semina ya Mafunzo ya Mitandao kwa Wajumbe wa Mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Jengo la Mfuko wa PSPF, Mjini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Mhe Nape Mnauye akitowa nasaha zake kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tanzania Bloggers Network. TBN. wakati akifunga mkutano huo uliowashirikisha Bloggers kutoka Zanzibar na Mikoa yote ya Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa Jengo la PSPF Posta Jijini Dar es Salaam. 
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Mhe Nape Nnauye, akiwahutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Mabloggers Tanzania uliofanyika katika Ukumbi wa PSPF jijini Da es Salaam. kulia Mwenyekiti wa TBN Ndg Jochim Mushi Msheka Fedha wa TBN Bi Shamim Mwasha na kushoto Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Tanzania Ndg.Adam Mayingu na Mjukmbe wa Kamati ya TBN bi. Miss Popula. 
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa TBN wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakimsikiliza Mhe Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Tanzania Mhe Nape Mnauye. 
Wapicha picha wamiliki wa Blog Tanzania wakiwa katika harakati za kutafuta picha bora wakati Waziri Nape akitowa nasaha zake kwa Mabloggers akifunga mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa jengo la PSPF posta jijini Dar es Salaam. 
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Tanzania Ndg Adam Mayingu akizungumza kabla ya kumkabidhi Kadi Mhe Nape kuwakabidhi Wanachama Wapya PSPF wa kujichangia kwa hiari. Jumla ya Bloggers 30 wamejiunga na mpoango huo wa kujichangia kwa hiara hakiba kupitia PSPF  . 
Wajumbe wa PSPF wakimsikliza Mgeni rasmin Mhe Nape akitowa nasaha zake na kufunga Mkutano Mkuu wa TBN katika ukumbi wa PSPF Posta Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Tanzania Mhe Nape akimkabidhi mwanachama mpya wa Mfuko wa PSPF kupitia TBN.
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo akimkabidhi Kadi ya Uwanachama wa PSPF bloggers kutoka Dar es Salaam.Ndg.John Badi, kwa kujiunga na Mfuko wa kujichangia kwa hiyari Mfuko wa PSPF. kulia Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa PSPF Ndg. Adam Mayingu. 
Waziri wa Habari Utamaduni Michezo Mhe Nape akimkabidhi Kadi ya Uwanachama wa PSPF bloggers kutoka Arusha Vero. 
Mzee wa Chaarusha Bloggers Gadiola Emmanuel akipokea Kadi yake ya Mfuko wa PSPF kutoka kwa Mhe Nape Mnauye.
Bloggers Woinde Shiza kutoka Arusha apokea Kadi yake ya Mfuko wa PSPF kutoka kwa Waziri wa Habari Mhe Nape Nnauye. 
Bloggers Oscar kutoka Mkoani Tanga akipokea Kadi ya mfuko wa PSPF kutoka kwa Waziri wa Habari Mhe Nape Nnauye. 
Zone Manager wa Benki ya NMB Bi Vicky Peter Bishubo, akizungumza kabla ya kumkabidhi Kadi cha ATM kwa Wateja Wapya waliojiunga na Akauti za Chapchap, kutoka kwa Umoja wa Mabloggers Tanzania, wakati wa mkutano wao mkuu uliofanyika katika jengo la PSPF Posta Jijini Dar es Salaam.     

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.