Habari za Punde

Shamrashamra za sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi zaanza kwa shughuli za usafi Pemba

 WAFANYAKAZI wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Pemba, wakifanya usafi pembeni ya ofisi yake kuelekea shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
 WAFANYAKAZI wa baraza la Mji Chake Chake wakifanya usafi kwa kuondosha mabati chakavu yaliyombele ya Ofisi yao, ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha miaka 53 ya Mpinduzi ya Zanzibar.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
 WAFANYAKAZI wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba, wamifangia mbele ya ofisi yao ikiw ani siku ya usafi kuelekea shamra shamra za kuadhimisha miaka 53 ya Mpinduzi ya Zanzibar.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
 MSHAURI wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Pemba, Amran massoud Amran, akifanya usafi kwa kuweka sawa bustani zilizoko katika Ofisi ya Makamu wa Pili Chake Chake Pemba ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha miaka 53 ya Mpinduzi ya Zanzibar.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
 AFISA Mdhamini ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba, Salum Ali Matta, akifanya usafi mbele ya Msikiti uliopo katika jengo hilo Chake Chake, ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha miaka 53 ya Mpinduzi ya Zanzibar.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
WAFANYAKAZI wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba, wakifanya usafi katika jengo lao kuelekea shamra shamra za kuadhimisha miaka 53 ya Mpinduzi ya Zanzibar.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
KATIBU Tawala Wilaya ya Chake Chake Abdalla Rashid, akitoa nasaha zake kwa wafanyakazi wenzake mara baada ya kumalizika kwa zeozi la ufanyaji usafi katika taasisi mbali mbali, ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha miaka 53 ya Mpinduzi ya Zanzibar.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.