Habari za Punde

Shamrashamra za sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi zaendelea kwa kufanya mazoezi leo kisiwani Pemba

 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe;Salama Mbarouk Khatib, akiwaongoza vijana mbali mbali katika kufanya mazoezi, ikiwa ni kumuunga Mkoano Rais wa Zanzibar, Mhe:Dk Ali Mohamed Shein kila Tarehe mosi ya kila mwaka kuwa siku ya Mazoezi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 KIKUNDI cha Mazoezi Gombani Chake Chake wakifanya mazoezi ndani ya Uwanja wa Gombani, kwa kuunga mkono kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake kuwa Januari mosi kuwa ni siku ya Mazoezi Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WAFANYA Mazoezi kutoka Vikundi mbali mbali wakifanya mazoezi ya Viungo katika uwanja wa Michezo Gombani, ikiwa ni kumuunga mkono Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, kuwa kila Januari mosi ya kila mwaka kuwa siku ya Mazoezi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Salama Mbarouk Khatib, akiwaongoza akinamama wenzake katika uwafanyaji wa mazoezi kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Salama Mbarouk Khatib, akizungumz ana wanavikundi vya mazoezi baada ya kumalizika kwa ufanyaji wa mazoezi Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.