MC
Mwanaije Muhammed Makame akiwa akiwatangazia washirikia hafla ya
utambulisho wa vitabu vya lugha ya kiingereza vya wanafunzi wa msingi Zanzibar,
vitabu vilivyotolewa na Milele Zanzibar Foundation,hii ni jana huko Misali
Wesha Pemba
(Picha na Salmin Juma)
Washiriki katika utambulisho wa vitabu vya
kiingereza wakiwa makini kuwasikiliza waendesha mada juu ya namna bora ya
kuvutumia vitabu hivyo kuwafundishi wanafunzi,hii jana huko katika hoteli ya
Misali Wesha pemba ambapo Milele waliwakutanisha walimu kutoka skuli mbalimbali
kwa lengo la kupata mafunzo hayo.
(Picha na Salmin Juma)
Bi Safia
Ali Rijali Director pre-primary and
primary education akiyafungua mkutano wa
utambulisho wa vitabu vya kiingereza kwa walimu wa skuli mbalimbali kisiwani
pemba.
(Picha na Salmin Juma)
Ali Muhammed Mbarouk Mhasibu wa Milele Zanzibar Foundation akiwa
na Asha Seif Ali ambae ni Project Officer wa Milele wakiwa makini kutekeleza
majukumu yao katika mkutano wa kuvitambulisha vitabu vya kiingereza kwa
wanafunzi wa elimu ya msingi Zanzibar.
(Picha na Salmin Juma)
Mwalimu Abdulrahman Omar Mzee wa skuli ya
Connecting Continent Secondary School akichangia mada ya mbinu nzuri za
kuwasomesha wanafunzi iliyokua
ikiendeshwa na Dk Maryam Jaffar Ismail
(Dean –school of education SUZA) katika
hafla hiyo iliyoandaliwa na Milele Zanzibar Foundation jana katika hoteli ya Misali
Wesha
(Picha na Salmin Juma
na Dk Maryam
Jaffar Ismail (Dean –school of
education SUZA) akitoa mafunzo kwa walimu na washiriki mbalimbali wa
utambulisho wa vitabu vya kiingereza kwa wanafunzi wa elimu ya msingi
Zanzibar,hafla hii imeandaliwa na Milele Zanzibar Foundation jana.
(Picha na Salmin Juma)
Kulia ni Fatma Khamis ambae ni Projct Officer (PEMBA) wa Milele Zanzibar
Foundation na kutosho ni Zuhira Khaldun Diara
Communication Specialist wakiwa makini kufatilia mchakato wa usomeshaji walimu
na wadau wa sekta hiyo juu ya kuwafunza wanafunzi wao vitabu vipya vilivyoletwa
na taasisi ya Milele Zanzibar Foundation.
(Picha na Salmin Juma)
Mkuu wa Programu kutoka Milele Zanzibar
Foundation akitoa neno kwa waalikwa wa mafunzo ya usomeshaji bora wanafunzi
katika lugha ya kiingereza na utambulisho wa vitabu vipya vya lugha hivyo.
(Picha na Salmin Juma)
No comments:
Post a Comment