Habari za Punde

Maandalizi ya Ujenzi wa Mabanda ya Viwanja vya Sikukuu Mnazi Mmoja Kukamilika Zenj.

Ujenzi wa mabanda kwa ajili ya wafanyabiashara katika viwanja vinavyotarajiwa kusherehekea sikukuu ya Eid el Fitry baada ya mfungo w Mwezi wa Ramadhani kumalizika mwishoni mwa wiki hii yamekamilika kutoka kwa baraza la manispa zanzibar kufanikisha ujenzi huo. Unaofanywa na kampuni ya Africana. Mabanda hayo hukodishwa kwa siku nne kwa shilingi 80,000/= na 70,000/= kutegemea biashara unayofanya.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.