Habari za Punde

Semina kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Kamati za Ustawi wa Jamii na Kamati ya Wanawake na Watoto Zanzibar. Ilioandaliwa na Wanaharakati Zanzibar.

Mkurugenzi wa Tamwa Zanzibar Dk.Mzuri Issa,akiwasilisha mada ya Mapungufu ya Sheria ya Kumlinda Mtoto kwa Vitendo vya Uzalilishaji kwa Wajumbe wa Kamati mbili za Baraza za Ustawi wa Jamii na ya Wanawake na Watoto, semina hiyo inafanyika katika ukumbi wa Kituo cha Huduma za Sheria kijangwani Zanzibar.
Dk. Mzuri Issa akisisitiza jambo wakati wa kuwasilisha mada yake kwa Wajumbe wa Kamati mbili za Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
 Wajumbe wakifuatilia Mada kwa makini wakati ikiwasilishwa.
 Wanaharakati wakifuatilia Mada hiyo ikiwasilishwa na muhusika.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.