Habari za Punde

Jumuiya ya Samail yaandaa kongamano la kiislamu

 Baadhi ya Watu kutoka Oman, ambao walihudhuria Kongamano la Kiislamu  lililotayarishwa na Jumuiya ya Samael Academy , iliopo Gombani Pemba, inayohusiana na dhamira ya kuanzishwa kituo hicho Kisiwani humo.
 Baadhi ya Watu kutoka Oman, ambao walihudhuria Kongamano la Kiislamu  lililotayarishwa na Jumuiya ya Samael Academy , iliopo Gombani Pemba, inayohusiana na dhamira ya kuanzishwa kituo hicho Kisiwani humo.
  Baadhi ya Wanafunzi wa Madrasa ambazo , zimesajiliwa na taasisi hiyo ya Samael Academy , iliopo Gombani Pemba, wakishiriki katika mdahalo huo uliotayarisha na jumuiya hiyo.
  Baadhi ya Wanafunzi wa Madrasa ambazo , zimesajiliwa na taasisi hiyo ya Samael Academy, iliopo Gombani Pemba, wakishiriki katika mdahalo huo uliotayarisha na jumuiya hiyo.
 Muanzilishi wa Taasisi ya Samael Academy , iliopo Gombani Pemba, Sheikh Nasiri bin Said bin Ali, ( mwenye Joho) akizungumza na baadhi ya wageni waalikwa huko katika ukumbi wa Jumuiya hiyo Gombani Pemba.

 Baadhi ya Wanafunzi wanaolelewa na Taasisi ya Samael Academy , wakiwemo Mayatima ambao wanapatiwa huduma mbali mbali ikiwemo Elimu, wakijumuika na Watu mbali mbali  katika Kongamano la Kiislamu lililoandaliwa na Taasisi hiyo huko katika ukumbi wa Taasisi hiyo Gombani Pemba,


Sheikh   Jabir bin Mussa (Al-abry ) kutoka Oman , akizungumza na Waislamu waliohudhuria Kongamano hilo la Kiislamu lilioandaliwa na Taasisi ya Samael Academy , iliopo Gombani Pemba.

Picha na BAKAR MUSSA-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.