Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora Kati ya Zimamoto na Jangombe Boys Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Zimamoto Imeshinda Bao 1--0.

Mshambuliaji wa Timu ya Jangombe Boys akijaribu kuwapita mabeki wa Timu ya Zimamoto wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Zimamoto imeshinda bao 1-0.















Post a Comment

0 Comments