Habari za Punde

Msimu wa Matunda ya Mananasi Waanza.

Mfanyabiashara katika Marikiti Kuu ya Darajani akiwa katika harakati za kuhamisha bidhaa hiyo ya matunda ya mananasi baada ya kuwasili katika marikiti hiyo kwa ajili ya kuuzwa kwa wananchi wanaofika katika kupata mahitaji yao. Nanasi moja liliuzwa kati ya shilingi 3500 hadi 6000 inategemea ukubwa wake. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.